Kuna hii issue ya wajawazito kuvaa nguo fupi maarufu kama vimini, unakuta mama mjamzito kavaa kigauni au kiskirt kifuuupiiiii saaaaana kinachofikia nusu ya mapaja afu ndani hajavaa nguo nyingine. Na wengine wamekwenda mbali wanavaa skin tight au skin jeans na top dress, wengine hawavai kabisaaaa nguo za kuachia mwili upate nafasi, wameng'ang'ania visuruali na vipyedo ilhali hawajua madhara yake. Hivi ndio kwenda na wakati au kupunga upepo?? Au kwa vile ni wajawazito wanakuwa na haki ya kufanya chochote watakacho?
Uvaaji WA nguo ambazo sio stahiki kwa wajawazito kama vile nguo za kubana ni hatari .
Madhara yake kwa mama mjamzito ni kama vile
-Mtoto kukosa hewa ya kutosha tomboni mwa mama.
-Mzunguko hafifu wa kwenda sehem mbali mbali za mwili (periferal areas)
nk.
Mama mjamzito anashauriwa kuvaa nguo zisizobana sana ili kuuruhsu kupata mzunguko WA damu na hewa kwa Urahsi.
No comments:
Post a Comment