Search your Topic here

Showing posts with label Matokeo. Show all posts
Showing posts with label Matokeo. Show all posts

Sunday, January 3, 2021

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020

 Kutazama matokeo ya dararasa la saba kwa mwaka  wa masomo 2020/2021 bonyeza link , Healthy News

Thursday, November 1, 2018

Wednesday, January 31, 2018

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2017

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA), latangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2017, ambapo ufaulu umepanda kwa asilimia 7.22 huku watahiniwa 265 wakifutiwa matokeo kwa udanganyifu.
Orodha ya Shule 10 Bora.
1. St. Francis Girls – Mbeya
2. Feza Boys – Dar es Salaam
3. Kemoboya – Kagera
4. Bethel Sabs Girls – Iringa
5. Anwarite Girls – Kilimanjaro
6. Marian Girls – Pwani
7. Canossa – Dar

8. Feza Girls – Dar
9. Marian Boys – Pwani
10. Shamsiye Boys – Dar
Shule Kumi (10) Za Mwisho Kitaifa
1. Kusini – Kusini Unguja
2. Pwani Mchangani – Kaskazini Unguja
3. Mwenge SMZ – Mjini Magharibi
4. Langoni – Mjini Magharibi
5. Furaha – Dar
6. Mbesa – Ruvuma
7. Kabugaro – Kagera
8. Chokocho- Kusini Pemba
9. Nyeburu – Dar
10. Mtule – Kusini Unguja

Kutazama matokeo kwa ujumla

Bonyeza hapa MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2017.
 kwa walio fanya mtihani wa QT tazama hapa MTIHANI WA MAARIFA (QT)

Saturday, October 21, 2017

Sunday, October 30, 2016

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2016/2017

Kutazama Matokeo ya darasa la saba walio hitimu mwaka huu 2016 bonyeza hapa MATOKEO YA DARASA LA SABA
 Usipitwe na taarifa mpya fuatilia blog yetu kila Siku ili kujua kuna jipya gani.
Andika  http://edmundabel.blogspot.com

Saturday, October 29, 2016

MATOKEO DARASA LA SABA 2016 WILAYA YA KIBONDO.

Kuwa mzalendo kwa kutazama Matokeo ya shule uliyo tokea kwa wakazi wa wilaya ya kibondo Shule zote ziko hapa.bonyeza link nyekundu kutazama matokeo bonyeza hapa

Saturday, September 3, 2016

MAJINA YA WALIO CHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI.

OR-TAMISEMI inatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya Pili (Second Selection) kwa mwaka 2016. Jumla ya wanafunzi 3,918 wakiwemo wasichana 2,413 na wavulana 1,505 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya pili kwa ajili ya kujaza nafasi zilizoachwa wazi na wanafunzi ambao hawakuripoti awamu ya kwanza.
Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 1,864 wakiwemo wasichana 1,099 na wavulana 765 sawa na asilimia 47.58 watajiunga na masomo ya Sayansi na Hisabati; na wanafunzi 2,054 wakiwemo wasichana 1,314 na wavulana 740 sawa na asilimia 52.42 wamechaguliwa kusoma masomo ya Sanaa na Biashara.
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya pili mwaka 2015 wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti kwa zaidi ya siku 14 kuanzia tarehe ya tangazo hili atakuwa amepoteza nafasi hii.
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya pili mwaka 2016 inapatikana kwenye tovuti ya OR-TAMISEMI ya www.tamisemi.go.tz
Imetolewa na Katibu Mkuu, 
OR-TAMISEMI
Bofya hapa  kutazama orodha
http://tamisemi.go.tz/form_five_selection/second/

Follow us