lakini naomba nikwambie kipimo halali cha uume ni pale uume unapokua umesimama tu.
- Nyeti mbili zilizosinyaa zinaweza kuonekana zinatofautiana urefu, mfano moja ikawa na sentimita sita na nyingine tisa lakini zikisimama zote zikafika sentimita 15.
- Utafiti umeonyesha mwanaume wa kawaida ana uume wenye urefu sentimita 12 mpaka 15 na unene{circumference} wa sentimita 12 akiwa amesimamisha.
- Zaidi ya asilimia 95% ya wanaume wamo kwenye hicho kiwango hicho.
Japokua kuna wanaume wanakua na uume mkubwa kidogo kuliko vipimo nilivotaja hapo juu lakini uume ni sawa na viungo vingine vya binadamu kama mguu na mikono na haviwezi kua sawa kabisa
- Lazima kuna watu wana miguu au viganja vya mikono vikubwa kidogo kuliko wengine.
Ni 0.6% ya wanaume wanaoupatwa na hali inayoitwa kitaalamu kama micro penis ambayo uume husimama kwa sentimita saba tu.
Hali hii husababishwa mara nyingi na kuepo kwa kiwango kidogo sana cha hormone inayoitwa growth hormone kipindi cha ukuaji.
- Hali huweza kutibiwa na wataalamu wa nyeti{urologist} bila madhara yeyote.
Unaweza tupatia maoni yako inbox kwa kutuandikia email eddyabell@gmail.com
No comments:
Post a Comment