Search your Topic here

Wednesday, July 6, 2016

JE UNAMJALI MPENZI WAKO???

Girl:  Baby mi leo naumwaa!! 

Boy: Unaumwa nini my sweet. 

Girl: Naumwa mafua

Boy: Pole sana my. 

Girl: Asantee
Ila baby naomba nitumie pesa ya kununua dawa etii!!!!

Boy: Shilingi ngapi unahitaji?? 

Girl: Elfu hamsini tu itatosha.

Boy: Haaaaa!!!!! 

Swali, Kama wewe ungetuma shilingi ngapi??

No comments:

Follow us