Girl: Baby mi leo naumwaa!!
Boy: Unaumwa nini my sweet.
Girl: Naumwa mafua
Boy: Pole sana my.
Girl: Asantee
Ila baby naomba nitumie pesa ya kununua dawa etii!!!!
Ila baby naomba nitumie pesa ya kununua dawa etii!!!!
Boy: Shilingi ngapi unahitaji??
Girl: Elfu hamsini tu itatosha
Boy: Haaaaa!!!!!
Swali, Kama wewe ungetuma shilingi ngapi??
No comments:
Post a Comment